Mafuta yote yamejaa mafuta na kalori, lakini muundo wao wa kemikali na madhara ya afya yanaweza kuwa tofauti kabisa. Mafuta ya kupikia ni chakula muhimu, lakini kuna habari nyingi zinazokinzana ...
Lakini sasa hivi, kuna huduma zinazotolewa za afya ya ngono kuanzia mwaka jana nchini humo kupitia mtandaoni. Wanaruhusu watu "bila aibu yoyote" kufikia huduma za afya ya ngono na pia kupata ...
Katika mfululizo huu, tunakujuza taarifa juu ya huduma za matibabu nchini Japani. Leo, tunaangazia bima ya afya ya wafanyakazi, ambayo ni aina mojawapo ya bima ya matibabu ya umma. Bima ya afya ya ...
Ilisema huduma za afya zinazookoa maisha zimesitishwa kwa watu milioni 1.6, na zaidi ya vituo vingine 220 vinaweza kufungwa hadi kufikia Juni mwaka huu bila ya kuingilia suala hilo kwa haraka.