Watu wengi tunapenda chakula kizuri chenye viungo, na licha ya viungo kuwa ghali katika baadhi ya maeneo – watu hawaachi kutoa pesa na kuagiza bila ya pengine kujua manufaa makubwa yaliyomo.
Ni chakula namba tatu kwa wanga baada ya mchele na mahindi. Chanzo cha picha, GETTY IMAGES Jules Kouassi, Daktari wa Afya ya Umma na mtaalamu wa lishe, kutoka Ivory Coast, anasema muhogo ni ...