Watu saba wakiwemo wafayakazi watano wa Azam TV wamefariki katika ajali nchini Tanzania. Ajali hiyo imetokea Shelui, Singida na kuhusisha magari mawili yaliyogongana uso kwa uso. Wafanyakazi hao ...
Kuna mfumo wa kulipia lakini TBC, Star TV, ITV, Channel Ten na EATV ... leseni za visimbuzi/Ving'amuzi vya Azam, Zuku na DSTV Multichoice Tanzania bali wanawataka kuondoa chaneli ambazo zinatakiwa ...