Majina ya baraza jipya la mawaziri yalisomwa na mkuu wa wafanyikazi wa ikulu Alexis Kohler. Macron amemteua aliyekuwa Waziri mkuu Elisabeth Borne mwenye umri wa miaka 63 kuwa Waziri wa elimu ...
Baraza la Chini la Bunge la Ufaransa limelipigia kura na kupitisha pendekezo la kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Michel Barnier na Baraza lake la Mawaziri. Vyama vya upinzani viliwasilisha ...
Isaac Muyenjwa Gamba 24.12.2015 24 Desemba 2015 Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amekamilisha uteuzi wa nafasi za mawaziri wa wizara nne zilizokuwa zimesalia katika ...