Jumatano Agosti 30, 2023 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alilifanyia mabadiliko madogo baraza lake la mawaziri. Si mabadiliko ya kwanza tangu aingie madarakani Machi 2021. Kila wakati ambapo ...
Rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan ametaja baraza jipya la mawaziri wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango. ''Nimefanya mabadiliko madogo ndani ya baraza la mawaziri ...