资讯

Matangazo ya moja kwa moja ya DW yanapatikana kwa Kiswahili, Kihausa, Kiamharic, Kifaransa, Kireno na Kiingereza saa za Afrika Mashariki.
Siku mbili zimepita tangu kutoweka kwa mwakilishi wa kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) Salma Said visiwani Zanzibar na hadi sasa hajulikani alipo. Taasisi za kiraia ...