Picha za mwanzo za ndani ya kanisa kongwe la Notre-Dame baada ya moto zimepatikana na kuonesha kuna baadhi ya maeneo ya kanisa hilo hayajaungua. Baadhi ya maeneo muhimu ambayo hayajaunguzwa katika ...