Utafiti uliofanywa huko Ufaransa umebaini kuwa dawa ambayo imekuwa ikitumiwa kuwatibu wagonjwa wa maradhi ya kifafa, zinaweza pia kuathiri afya za watoto wachanga iwapo wanaotibiwa kwa dawa hizo ...
Muungano wa Ulaya umeidhinisha kwa mara ya kwanza utumizi wa bidhaa za dawa ya bangi kwa lengo la kuwatibu wagonjwa walio na ugonjwa wa kifafa utotoni mwao. Madaktari sasa wanaweza kumpatia ...
ULAJI wa nyama ya nguruwe isiyoiva ipasavyo, ajali, uzazi pingamizi na mbung’o vimetajwa kuwa vyanzo vya kuenea kwa ugonjwa ...