Ni Mkapa huyohuyo ambaye ndiye alikabidhiwa jukumu la kuleta amani miongoni mwa pande zilizokuwa zikisigina nchini Burundi na viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki (EAC). Ni juhudi hizo ...
Benjamin Mkapa kwa namna moja au nyingine alikua mpatanishi wa mazungumzo ya amani ya DRC, Zimbabwe, Sudani Kusini na Burundi. Hayati Mkapa alifanya jitihada za kuhakikisha kuwa Afrika inakuwa ...