Watu kadhaa wameripotiwa kupigwa risasi nchini Kenya katika maandamano yanayoendelea ... Moto pia ulizuka katika Ukumbi wa Jiji la Nairobi,makao makuu ya kaunti hiyo. Takriban watu 40 wanatibiwa ...