Kim Kardashian West anajipanga kubadilisha jina la nguo zake za ndani kufuatia shutuma kali za kudunisha mila. Raia wa Japani wanaotumia mitandao ya kijamii walishutumu vikali jina la kibiashara ...