Mwezi Disemba 1964, wakati Kenya ilipojipatia uhuru wake , Mzee jaramogi Oginga Odinga alihusika katika kampeni ya kupigania kuwachiliwa kwa mzee Jomo Kenyatta kutoka jela na kupatikana kwa uhuru ...
Siasa za Kenya kwa miaka mingi tangu nchi hiyo ipate uhuru wake mwaka wa 1963 zimeegemea familia za Mzee Jomo Kenyatta na Jaramogi Oginga Odinga, mashujaa wawili wa vita vya ukombozi, ambao miaka ...