Mkoa wa Katavi kusini Magharibi mwa Tanzania , umeanzisha bucha maalumu ya kuuza nyama pori, biashara ambayo ambayo ni adimu katika maeneo yaliyo mengi nchini Tanzania na ukanda wa Afrika.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limethibitisha kutokea kwa ajali iliyohusisha treni ya abiria iliyokuwa safarini kutoka jijini Dar Es Salaam ikielekea maeneo ya Tabora, Katavi (Mpanda), Kigoma na ...