Chanzo cha picha, getty Image Anapendekeza kutoendelea mtu anaposema kitu kibaya ama kauli ambayo ni "sumu" ambayo inaweza kutufanya tukose raha na kufikiria kuhusu maoni hayo ambayo yanatusumbua.