Mkutano wa Beijing Ijuma iliyopita ulifanyika miezi miwili kabla ya Shirika la ndege la Kenya Airways kuanza safari za moja kwa moja kutoka Nairobi hadi New York. Tayari kampuni ya KQ imeanza ...
Bunge la Seneti nchini Kenya limepiga kura kumuondoa Mike Mubuvi Sonko kama gavana wa Nairobi , katika hatua ambayo imekomesha miaka mitatu ya utawala wake uligubikwa na utata. Bw. Sonko ...