Mradi wa Eco Manyatta umetoa fursa ya kujenga nyumba hizo kwa kutia nakshi za kisasa. Ng'endo Angela ametembelea County ya Laikipia ngome ya Wamaasai nchini Kenya kujionea mradi huu unawanufaisha ...