Lakini baadhi ya maofisa wa ANC wana maoni tofauti - wanaamini kutakosekana utulivu ikiwa MK itatengwa, kutokana na mafanikio yake katika uchaguzi, ambayo yamekifanya kuwa chama kikubwa zaidi huko ...
Chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini, ambacho kimekuwepo kwenye siasa kwa zaidi ya muongo mmoja, kimepata pigo kufuatia kujitoa kwa naibu kiongozi wake Floyd ...