Shirika Shirika la kimataifa la madaktari wasio na mipaka,MSF limewatibu  wagonjwa zaidi ya elfu 70  wa Kichocho,kutoka kambi ...
Mkuu wa ujumbe wa MSF nchini Sudan Yahya Kalilah amesema hatua ya kusitisha shughuli zao katikati ya janga linalozidi kuwa baya ni uamuzi wa kuvunja moyo ila hawana budi kufanya hivyo.