Masomo katika shule ya upili ya Itierio iliyo Kisii Magharibi mwa Kenya, yamesitishwa baada ya wanafunzi kuchoma jumla ya mabweni kumi kupinga sheria mpya zilitongazwa na usimamizi wa shule.