"Tunakubali Gor Mahia wametuzidi nguvu.lakini ndio hali ya mchezo,'' alisema Djuma.Naibu wa kocha wa Gor Mahia Zedekiah Otieno alikua anatembea juu ya keki. "Siku kubwa leo kwa Gor, Simba ...