Dar es salaam nchini Tanzania ina watu 1300 wenye utajiri mkubwa zaidi ikishikilia nafasi ya 12 Afrika kwa miji yenye matajiri wengi zaidi . Chanzo cha picha, New World Wealth and Henley & Partners.