Miamala ya mikopo ya kidijitali nchini Tanzania imeshuhudia ongezeko kubwa mwaka 2024, ikiongezeka kwa asilimia 91.49 hadi ...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Shinyanga, imetoa Sh. milioni 225.8 fedha za mikopo kwa asilimia 10 kwa vikundi 19. Fedha hizo ...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkopo huu unajumuisha bima ya maisha katika kipindi cha mkopo ambao mtumishi atachukua.
SEKTA ya benki inaendelea kufanya vizuri kiasi cha kufikisha thamani ya Sh trilioni 67. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro ...
Chanzo kikuu cha mitaji karibuni duniani kote ni mikopo rasmi ya kibiashara. Hata hivyo, tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi wajasiriamali kutoka nchi zinazoinukia ikiwemo Tanzania hawana mikopo ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng'i Issa ameeleza kusikitishwa na hali ya ...
Shinyanga. Ofisa maendeleo ya jamii kutoka Manispaa ya Shinyanga, Nyanjula Kiyenze amesema jumla ya vikundi 19 vimepewa mafunzo ya matumizi na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 ili ...
Wanachuo zaidi ya elfu ishirini nchini Tanzania wamekosa mikopo ya elimu kutoka bodi ya mikopo nchini humo kutokana na ufinyu wa bajeti serikali huku wale wasio chukua masomo ya sayansi wengi wao ...