Shirika la Amref Health Africa limeanzisha mradi mmojawapo unaotekelezwa na kikundi cha akinamama wanaobadilisha taka za nyumbani na kuwa mkaa. Uchafu wa majumbani ni 75% ya taka zote ...