Kuna mnyama aliyesambaza virusi vya corona kutoka kwa popo hadi kwa binadamu, utafiti unaonesha. Lakini wakati ambapo Shirika la Afya Duniani linasema utafiti huo umelenga chimbuko la virusi hivyo ...
Mnyama huyo mkubwa alihitaji njia ya kupunguza joto mwilini. Na sasa wanasayansi wanasema kwamba mashimo mawili katika fuvu lake la kichwa yalitumiwa kama kiyoyozi ili kumwezesha dubwana huyo ...
POPO ni mnyama mwenye maajabu makuu mawili yaani, kuwa ndiye mnyama pekee duaniani anayeweza kuruka kama ndege ...