Mnyama huyo mkubwa alihitaji njia ya kupunguza joto mwilini. Na sasa wanasayansi wanasema kwamba mashimo mawili katika fuvu lake la kichwa yalitumiwa kama kiyoyozi ili kumwezesha dubwana huyo ...