Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Bukoba imemhukumu Mwalimu Respicius Mutazangira Adhabu ya Kunyongwa hadi kufa baada ya Kumkuta na hatia ya Kumpiga na Kumuua mwanafunzi Sperius Eradius Mwanafunzi ...
Mwalimu kutoka Ghana alivuma mtandaoni baada ya kuweka picha akichora programu ya Microsoft Word kwenye ubao wakati wa darasa la tarakilishi. Baada ya picha yake Owura Kwadwo kusambazwa sana ...