Mwanamke aliyetambuliwa kuwa mkongwe zaidi duniani ameaga dunia akitibiwa jijini New York, Marekani, madaktari wamesema. Susannah Mushatt Jones, amefariki akiwa na umri wa miaka 116. Chanzo cha ...
25 Septemba 2017 Mwanamke raia wa Misri ambaye aliaminiwa kuwa mtu mwenye uzani mkubwa zaidi duniani amefariki kwenye hospitali moja katika umoja wa falme za kiarabu Eman Ahmed Abd El Aty alikuwa ...