Miaka 20 imetimia tangu kilipotokea kifo cha muasisi wa taifa la Tanzania mwalimu Julius Kambarage ... katika maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru yanayofanyika sambamba na kumbukumbu ...
Dodoma. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema endapo kilimo kingeheshimika kama ilivyo kwa Mwenge wa Uhuru, umasikini Tanzania ungeondoka. Mbali na hilo, ameeleza kusikitishwa kwa Kituo cha Mafunzo ...