Ilikusudiwa kutua kwenye uwanja wa ndege katika mji wa kaskazini wa Mzuzu, lakini ilirudishwa kwa sababu ya hali mbaya ya hewa . Dk Chilima amekuwa makamu wa rais wa Malawi tangu 2014. Alipendwa ...