Mapema mwezi huu, Jumamosi ya Julai 3 Simba pia ili fungus na Yanga bao 1-0 katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu. Siku hiyo Yanga ilitibua sherehe ya ubingwa wa Simba.