Huko mkoani Njombe, Kusini magharibi mwa Tanzania, watu wamekuwa wakimiminika kwenda kujionea mchoro wa ramani ya bara Afrika uliopo kwenye jiwe lenye ukubwa wa zaidi ya ekari 7 ambao haujachorwa ...