Watu wenye umri wa kati ya miaka 30 wanahitaji kuwa makini na shinikizo la damu ili kujilinda na afya ya ubongo katika maisha yao ya baadaye, utafiti unasema Kuna namna ya kulinda afya hiyo ya ...
Sauti za injini, honi na ving'ora vinavyoungurumana na kuwafikia watu wanaoishi karibu na barabara zenye magari mengi zinaweza kusababisha shinikizo lao la damu (presha) kuongezeka, watafiti wanasema.
Serikali imesema kasi ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza inazidi kuongezeka hali inayosababisha Watanzania wengi kushindwa kufikia umri wa miaka 66 ambao ni wastani wa kuishi. Takwimu ...