Mzee wa miaka 75 nchini Tanzania ameweka bango lenye sifa za mke anayemtaka, katikati ya mtaa anaoishi. Athuman Bakari Mchambua mkazi wa Dar es Salaam amechukua hatua hiyo baada ya kifo cha mke wake.