Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amewataka raia ... na kwamba ndizo zinatumika kujenga miundombinu ya kuchochea uchumi. Wakati wa kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ...
Waziri wa Nishati wa Tanzania, January Makamba amesema hivi karibuni kuwa matatizo ya kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini Tanzania yataendelea hadi hapo ukarabati wa miundombinu ya kusafirisha ...
Akizungumzia wizi wa miundombinu ya umeme, Chacha amesema imekuwa ni changamoto kubwa na sasa wameanzisha operesheni kubwa na wale watakaobainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.