Watu wawili wamefariki dunia nchini Uganda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya matumbo, typhoid. Wizara ya afya nchini Uganda kupitia kwa mkuu wa huduma za afya nchini Uganda, Jane Ruth ...