Lakini pia muhogo unaweza kutumika kutengeneza chakula kingine. Unga wa muhogo hutumika kutenegeneza ugali, vipopoo, keki, uji, mandazi na mitindo mengine mengi ya upishi. Sandrine Tchoni kutoka ...