Ongezeko la tatizo la upweke limeibuka baada ya marufuku ya kukaa ndani kuanza na watu kuanza kuhangaika kujitenga na wengine. Utafiti wa mradi wa 'A Mind Cymru' ukiangalia athari za matatizo ya ...
Takwimu zinatuambia kuwa vijana na wanawake ndio wanao uwezekano mkubwa wa kusema kuwa wana upweke - huku takriban mara mbili ya vijana wenye umri wa miaka 16-29 wakikubali kujisikia wapweke ...