Hatua hiyo ya waasi inakuja licha ya wito wa kimataifa wa kusitisha mapigano na kuanzishwa tena kwa mazungumzo ya amani.
Waasi wa M23 sasa wako katika maeneo mawili y mko wa Kivu Kusini, ambayo ni maeneo ya Kalehe na Kabare, ambapo sasa wanakalia ...
UKAGUZI wa kiufundi na kiufanisi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato, jijini Dodoma uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), umebainisha dosari kadhaa katika utekelezaj ...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa mchezo wa mpira wa miguu jijini Dodoma na mkandarasi kampuni ya LimontaI Spa ...
Usiku wa jana ulikuwa na mambo mengi, wakati ambapo mechi kati ya Everton na Liverpool ilikuwa ya mwisho kabisa kupigwa ...
BUKAYO Saka ataendelea kuwa nje ya uwanja kwa wiki nane zaidi huku tatizo la majeruhi likiendelea kuwa kubwa na kusumbua ...
BUNGE limeazimia mambo manne kuhusu Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwamo kuhakikisha ukarabati wake unakamilika ifikapo Aprili, 2025. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Husna Sekiboko ameyasema hayo leo bungeni a ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, amezindua uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere uliofanyiwa ukarabati baada ya miundombinu ya uwanja huo kuharibika. Katika hotuba yake Rais Magufuli ...
Fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024 na fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 zitafanyika ...
Bawa la kulia la ndege ya shirika la ndege la Japan Airlines, JAL limegonga mkia wa ndege ya kampuni ya Delta Air kwenye ...
Safari za anga za ndege kubwa katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa zinatarajiwa kurejea tena rasmi Februari 22 mwaka huu, baada ya kusitishwa kwa zaidi ya miaka nane ili kupisha upanuzi na ukarabati wa ...