Kuna wakati hungeweza kufikiria kuwa viatu vya yebo yebo vitarejea tena kuwa fasheni. Lakini amini usiamini katika tuzo za Oscar mwaka huu ndivyo vilivyotia fora baada ya mwelekezi wa muziki ...