Tanzania na Zambia wamekubaliana kubadilisha sheria ili kuruhusu mkurugenzi mkuu wa shirika la reli la TAZARA kupatikana kutoka nje ya nchi hizo mbili. Uamuzi huo umetangazwa jijini Dar es Salaam ...
Maelezo ya video, Tanzania, Burundi Zambia, DRC kufunga shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika kwa muda kuchochea ongezeko la samaki Serikali za Tanzania, Burundi Zambia na DRC kwa pamoja zimeazimia ...