Mafuta yote yamejaa mafuta na kalori, lakini muundo wao wa kemikali na madhara ya afya yanaweza kuwa tofauti kabisa. Mafuta ya kupikia ni chakula muhimu, lakini kuna habari nyingi zinazokinzana ...
Wakati mkaazi wa Singapore Nadia ambaye sio jina lake halisi, alipotembelea kliniki kupimwa kama amepata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa miaka mitatu iliyopita, aliondoka kwa daktari akiwa na aibu ...
Shirika la Afya Duniani, WHO linaonya kuwa asilimia 80 ya huduma za afya linazozisaidia nchini Afghanistan zinaweza kusitishwa hivi karibuni kutokana na ukosefu wa fedha. Hilo linakuja wakati ...