Programu ya akili mnemba iliyotengenezwa nchini China inayoitwa DeepSeek, imepakuliwa na watumiaji wengi kwenye Apple Store. Programu hiyo ilitolewa tarehe 20 Januari 2025, na kuwavutia wataalamu ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesaini Mkataba wa makubaliano ya Utoaji Huduma za Afya ya Akili na Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dodoma ...
Anasema tatizo linakuja pale ubongo unapobeba taarifa za kitisho, kitu ambacho hakipo au si cha kweli, kisha ikauandaa mwili kwa mapambano lakini hakuna kitisho halisi ndipo hapo mwili unapojigeukia ...