SK2 / S02S 28.01.2025 28 Januari 2025 Waandamanaji washambulia balozi za kigeni Kinshasa+++Marais zaidi ya 20 wa nchi za Afrika wamekutana nchini Tanzania leo kujadili upatikanaji wa umeme kwa ...
MACHO na masikio ya wapenda soka duniani leo yataelekea mji mkuu wa Hispania, Madrid kunakofanyika mchezo wa watani wa jadi(Derby) kati ya Real Madrid na Atlético ...
Ina taarifa za biashara, uchambuzi na maoni ya wataalam wa 100bora kila siku © 2025 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu ...
Utulivu kiasi Goma, M23 inadhibiti eneo kubwa Shule zimefungwa Goma na Nyiragongo UNICEF yasaka dola milioni 22 kukidhi mahitaji ... la Kivu Kusini, hali ya utulivu imeshuhudiwa kwa kiasi fulani tangu ...
NI siku ya hukumu! Baada ya tambo za muda mrefu, leo sanduku la kura linaamua nani awe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Freeman Mbowe ameomba achaguliwe tena kukiongoza chama ...
Katika kudhihirisha ushirikiano wa kimataifa usio na kifani na hatua za haraka, wizara ya afya ya Uganda, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, na washirika wa kimataifa leo wamezindua ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Miloud Hamdi, ameweka wazi falsafa yake kuwa anapenda soka la kushambulia zaidi na kupatikana mabao mengi iwezekanavyo, akiwa tayari ameshawaelekeza wachezaji wake kufanya ...
Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba ...
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali nchini Libya, imethibitisha kupatikana kwa miili hiyo na kueleza kuwa watu hao waliteswa na kuzuiwa na baadaye kupoteza maisha, kabla ya kuzikwa pamoja.
"Hatuwezi kukubali picha za kutisha tulizoziona asubuhi ya leo," Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, ambaye bado yuko Washington. Rais wa Israel Isaac Herzog, kwenye mtandao wa kijamii wa X ...