WAKATI inatarajia kuwakaribisha Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, benchi la ufundi la Yanga limesema wana michezo 15 ya ...
Kikosi cha City ambacho kilikuwa hakipewi nafasi kubwa ya kufuzu kwenye hatua ya mtoano kilipata nafasi hiyo kwenye mchezo wa mwisho kabisa baada ya kuichapa Club Brugge mabao 3-1 na kumaliza katika ...
KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic wikiendi hii anaingia tena kibaruani kuiongoza katika mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar huku akiwa na silaha inayombeba zaidi katika falsafa yake ya ...
KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amesema pamoja na ugumu wa mechi dhidi ya Yanga, lakini kutokana na uhitaji wa pointi tatu ’watakufa na mtu’ hadi kieleweke. Kagera Sugar haina matokeo mazuri ...
WAKATI imemtambulisha rasmi winga mpya, Jonathan Ikangalombo, Yanga imesema itaongeza umakini na haitarudia makosa ya kukubali kupoteza mechi kwenye uwanja wa nyumbani kama ilivyotokea walipokutana na ...
Katika mchezo huu uliopigwa Uwanja wa Al Hassan Mwinyi Tabora, Simba imekuwa timu ya kwanza kati ya nne kubwa za juu kuifunga Tabora kwenye michezo yote miwili ya msimu huu, baada ya kupata ushindi ...
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam huku Yanga ikihitaji ushindi ili kutengeneza mazingira ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu iliyouchukua kwa misimu mitatu ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...