Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamsaka Abdallah Mohamed (40), fundi friji mkazi wa Mataya, wilayani Bagamoyo, kwa tuhuma za kumuua mzazi mwenzake, Naomi Mwakajengele (28), mwalimu wa Shule ya Msingi ...