Mtoto Grayson Kanyenye (6) enzi za uhai wake. Dodoma. Mwalimu wa Kwaya ya Shekina iliyoko chini ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Area D jijini Dodoma, Amani Bale amesimulia jinsi mtoto ...
Mbali na ubobezi katika taaluma ya sheria unaojulikana na wengi, Jaji Werema amewahi kuwa Mwalimu wa Shule ya Sekondari Shaaban Robert, jijini Dar es Salaam kati ya mwaka 1979 hadi 1980. Sambamba na ...