Kuna kisa cha mwanandoa Gilombo. Gilo hakujaliwa sura wala tabia nzuri. Alikuwa mzinzi wa kutisha aliyelazimisha ndoa kwa kijana handsome na mwenye nazo asiye na uzoefu. Alibahatika kupata mtoto wa ...
TIMU ya wanasheria chini ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe imetoa angalizo kwa wanandoa kutopuuza cheti cha ndoa kwani ni muhimu kwa pande zote ...
MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa ameitaka jamii kusimamia maadili ya malezi na ulinzi kwa mtoto ili kumwepusha na ndoa za utotoni zinazochangia talaka ...
Utumwa huu umejikita kwenye mapenzi bandia ambapo mmoja wa ‘wapendanao’ humtumia mwenzake kulingana malengo na hadhi na rangi yake. Hatuzushi! Utaona vibabu/bibi vya Kizungu vikifunga ndoa na wavulana ...
BAADHI ya viongozi wa serikali za mitaa Kata ya Bulega Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wamesema tatizo la mikopo yenye riba kubwa (mikopo umiza) imekuwa chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika.
Saratani ilivuruga maisha yake, si tu kitaaluma bali kihisia pia, ikiwa ni pamoja na kupoteza ndoa yake ya miaka 12. Kila mwaka, inakadiriwa kuwa kesi milioni 1.1 za saratani hurekodiwa barani ...
KAMA unakumbuka Oktoba 28, 2021 kwenye pati ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwigizaji wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, mkali wa Bongo Fleva, Salmin Issa 'Kusah' alikaririwa wamefunga ndoa na mzazi mwenzie ...
Jumapili ya Januari 12, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa ‘Jux’, Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania akitokea kwao Nigeria na kuthibitisha anatarajia kufunga ndoa na Jux mwaka huu.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba ndani ya simu yako ya mkononi kuna kiasi kidogo cha chuma kilichoanza safari yake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako vita vinaendelea hivi sasa ...