Dar es Salaam. Serikali imetangaza nafasi 15 za ajira mpya katika kada za ujenzi na mifugo, ambapo mwisho wa kutuma maombi ni Februari 28, 2025. Tangazo la nafasi hizo limetolewa jana Februari 19, ...
Dar es Salaam. Zimebaki siku mbili dirisha la maombi ya nafasi mpya za ajira za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lifungwe. Maombi ya ajira hizo yalifunguliwa rasmi Februari 6, 2025 na yanatarajiwa ...