Ifuatayo ni orodha ya wachezaji na makocha waliowahi kuzitumikia Yanga na Simba na kisha kufuata malisho ya kijani zaidi huko Uarabuni. Februari 23, 2021, Luis Miquissone alifunga bao la kideoni ...
DABI ya watani wa jadi inayowakutanisha Simba na Yanga itapigwa Machi 4 baada ya mapumziko ya siku 30 ya Ligi. Dabi hiyo ya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) inapigwa siku nne tu kabla ya watani hao kwa ...
Na walijitenga baada ya timu yao kushuka daraja. Ile ligi ambayo walishuka ilichezwa hadi Novemba, ndiyo ikaisha, iweje wao waanzishe timu Agosti? Hizi tarehe za kuanzishwa kwa vilabu hivi bado zina ...
Na walijitenga baada ya timu yao kushuka daraja. Ile ligi ambayo walishuka ilichezwa hadi Novemba, ndiyo ikaisha, iweje wao waanzishe timu Agosti? Hizi tarehe za kuanzishwa kwa vilabu hivi bado zina ...
USIKU wa deni haukawii, wawakilishi wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa, Simba na Yanga zitashuka katika viwanja viwili tofauti ugenini leo ili kucheza mechi zitakazoamua hatima ya ...
BODI ya Ligi Nchini (TPLB), imesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaanza kwa mechi za 'viporo' za Simba na Yanga, kabla ya kuendelea na raundi ya 17, imeelezwa. Ofisa Mtendaji mKuu wa TPLB, Almasi Kasongo, ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wameanza kutamba bwana! Leo walijana pale Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Dar es Salaam kufuatilia kwenye televisheni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kati ya timu hiyo na CS ...
KIUNGO wa Simba, Ladack Chasambi amewaomba radhi viongozi, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kwa kujifunga goli na kusababisha timu kukosa alama tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
*Ni katika urejeshaji wa mikopo Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amependa ushirikiano unaofanywa baina ya Kampuni ...