NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande ameitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu kufanya kazi kwa weledi na ushrikiano kwa kuhakikisha inapitia mitaala iliyopo kwajili ya uboreshaji wa taaluma ya uhasibu ...
Adhabu mbalimbali zilizotolewa na kamati ya uendeshaji na usimamizi ya bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuvuna Sh10.5 milioni. Adhabu hizo zimetokana na makosa mbalimbali yaliyofanywa na timu, ...
BODI ya Chai Tanzania (TBT) imesema ujio wa ujumbe wa watu watano kutoka kampuni mbili kubwa za chai za Japan za Kawasaki Kiko na Nasa Corporation unatarajiwa kuleta mapinduzi ya viwanda vya ...
Bodi ya Chai Tanzania (TBT) imeanza juhudi za kurejesha masoko ya chai yaliyopotea kwa lengo la kukabiliana na changamoto zinazowakumba wakulima wa chai kutokana na kukosa soko la uhakika. Akizungumza ...
Rais wa Jumuiya ya Wanajiolojia Tanzania TGS, Dk Elisante Mshiu akizungumza kwenye mkutano wa mwaka wa Jumuiya hiyo jijini Tanga. Picha na Raisa Said Tanga. Chama cha Jiolojia Tanzania (TGS) kimeitaka ...
OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amevunja ukimya na kutoa ufafanuzi juu ya nafasi ya mwenyekiti wa bodi hiyo, Steven Mnguto ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Coastal Union.
WAPENZI wa chai ya rangi wanafurahia ile nyeusi ambayo imezoeleka karibu kila mahali, lakini sasa Bodi ya Chai Tanzania (TBT), inapania kuleta chai ya kijani yenye ladha tofauti na bora kiafya. TBT ...
Kufikia Mei 2024, Davis aliorodheshwa kama mchezaji wa pili bora duniani katika uzani mwepesi na ESPN, kwanza na Bodi ya Nafasi za Ndondi za Kimataifa, na pili na jarida la The Ring. Amethibitisha ...